Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeitaka serikali ya Nigeria kutoa maelezo kuhusu mauaji yaliyofanywa mwaka jana na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Zaria.
Habari ID: 3470683 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/18
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mauaji ya Waislamu waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS kaskazini mwa Nigeria
Habari ID: 3470677 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/15
Katika msafara ya Arubaini ya Imam Hussein AS
IQNA- Jeshi la Nigeria limeua Waislamu zaidi ya100 wa madhehebu ya Shia kwa kuwapiga risasi kiholela kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470676 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/14
IQNA-Watu wanne wamejeruhiwa baada ya polisi nchini Nigeria kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakiandamana Ijumaa ya leo katika mji mkuu Abuja.
Habari ID: 3470651 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04
Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470581 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia umuhimu wa umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu na kusema kuwa, kuchochea makundi mengine ya Kiislamu kwa jina la U shia kimsingi ni U shia unaofadhiliwa na Uingereza.
Habari ID: 3470573 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/20
Shirika la kutetea haki za binadmau la Amnesty International limeutaka utawala wa Bahrain usitishe ukadamizaji Waislamu wa Ki shia nchini humo.
Habari ID: 3470544 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02
Vikosi vya usalama Saudia vimewatia mbaroni maulamaa wawili Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa katika mji mtakatiffu wa Makka.
Habari ID: 3470543 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02
Utawala wa kiimla wa Bahrain umemzuia mwanaharakati wa haki za binadamu kuondoka nchini humo ili kwa kuhofia kufichuka rekodi mbaya ya haki za binaadamu katika ufalme huo.
Habari ID: 3470536 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/23
Sheikhe Mkuu wa Al Azhar
Sheikh Ahmed el-Tayyib, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar, Misri ametoa wito kwa maulmaa wa Shia na Sunni kutoa fatwa ambazo zitawazuia Waislamu wa madhehebu hizo kusitisha malumbano ya kimadhehebu.
Habari ID: 3470474 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26
Saudi Arabia imemkamata mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
Habari ID: 3470451 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/13
Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema Saudi Arabia sasa imekuwa kizingiti kikubwa katika ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470386 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/14
Wanazuoni wa Ki shia nchini Misri wamepongeza Chuo Kikuu cha Al Azhar kwa hatua yake ya kuasisi kituo cha kukurubuisha madhehebu ya Kiislamu.
Habari ID: 3470311 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/14
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia atahadharisha
Russia imetahadharisha kuwa mgogoro was asa nchini Syria huenda ukaibua mgawanyiko mkubwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470277 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/28
Viongozi wa utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia wamepiga marufuku kutangazwa adhana katika misikiti ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mkoa wa Al-Hasa, mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470222 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/01
Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza imetangaza kuwa faili la mauaji ya Waislamu katika mji wa Zaria nchini Nigeria limewasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko The Hague nchini Uholanzi.
Habari ID: 3470211 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/23
Mwanazuoni wa Kisunni Uingereza
Mwanazuoni wa Kisunni nchini Uingereza amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh halitafautishi baina ya Shia na Sunni katika kutekeleza jinai dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3470196 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/14
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wananchi wa Iran wameonesha kivitendo imani yao kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi uliofanyika nchini hivi karibuni.
Habari ID: 3470191 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/11
Sheikhe Mkuu wa Al Azhar, Ahmad Tayyeb ametoa wito wa kufanyika vikao vya pamoja vya wasomi Waislamu wa madhehebu za Shia na Sunni.
Habari ID: 3470188 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/09
Bintiye Sheikh Zakzaky
Bi. Nusaiba Zakzaky bintiye Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ametoa taarifa akibainisha hali ya Waislamu nchini Nigeria na kusema, serikali ya nchi hiyo inawakandamiza Waislamu wa madhehebu zote.
Habari ID: 3468456 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23