iqna

IQNA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon Gebran Bassil amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unafaidika sana na mgogoro baina wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni.
Habari ID: 3311306    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/06

Jamii ya kimataifa inaendelea kulaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3306740    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/23

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar nchini Misri kimeandaa kongamano kubwa litakalowajumuisha pamoja maulama wa Ki shia na Kisuni kutoka nchi zote za Kiarabu. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, lengo la kongamano hilo ni kutatua baadhi ya tofauti ndogo zilizopo kati ya pande mbili.
Habari ID: 2708738    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/14

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu yanaibua migogoro baina ya Waislamu kwa lengo la kutawala ardhi za Kiislamu zenye umuhimu wa kistratijia.
Habari ID: 2684305    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/07

Mkutano wa 28 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu na maulamaa wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 2684304    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/07

Magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh (ISIL) wameharibu misikiti kadhaa na Haram tukufu za Waislamu wa Sunni na Shia katika mkoa wa Salahuddin nchini Iraq.
Habari ID: 2612443    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/28

Imam Khamenei
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumanne mjini Tehran ameonana na maulamaa, wanavyuoni, wasomi na wageni walioshiriki kwenye Kongamano la Kimataifa la Mirengo ya Kitakfiri kwa Mtazamo wa Maulamaa wa Kiislamu na kulitaja suala la kuzuka upya makundi ya kitakfiri katika miaka ya hivi karibuni kuwa ni tatizo lililopandikizwa na mabeberu katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 2612034    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/26

Katibu Mkuu wa Harakatiya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, machafuko na migogoro inayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati haifungamani kabisa na U shia wala Usuni, bali ni mkakati maalumu wa Marekani wenye lengo la kutaka kulidhibiti eneo hili nyeti.
Habari ID: 1470085    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/04

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil-Udhmaa Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, hatua yoyote inayochochea chuki na tofauti baina ya Suni na Shia, inaisaidia Marekani, Uingereza na utawala haramu wa Kizayuni, yaani katika kuibua harakati za kijinga, zilizopitwa na wakati na za kitakfiri.
Habari ID: 1460143    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/14

Wanazuoni waandamizi wa Ki shia na Kisunni nchini Uingereza wamefanya kikao cha pamoja na kujadili njia za kuimarisha umoja miongoni mwa Waislamu sambamba na kukabiliana na kampeni za kuibua fitina katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 1449625    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/14

Magaidi wa kitakfiri kutoka kundi linalojiita Dola la Kiislamu la Iraq na Sham (Daesh) wamebomoa misikiti na maeneo kadhaa matakatifu ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni katika mkoa unaokumbwa na vita wa Nainawa nchini Iraq.
Habari ID: 1426174    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06

Ayatullah Khatami
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, 'kundi la kigaidi la Daesh ni silaha mpya ya Marekani na madola mengine ya kibeberu inayotumiwa kwa lengo la kuvuruga usalama wa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 1422882    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja makundi ya kitakfiri kuwa ni hatari kwa Waislamu wote, wawe Waislamu wa Ki shia au Waislamu wa Kisuni.
Habari ID: 1406467    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/13