shia - Ukurasa 2

IQNA

Ukandamizaji
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Juu ya Saudia imeendeleza sera za kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia kwa kuidhinisha hukumu ya kuwanyonga vijana wawili raia wa Bahrain.
Habari ID: 3475275   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/21

TEHRAN (IQNA)- Hatua ya utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia ya kuwanyonga watu 81 wakiwemo vijana 41 wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia imekbiliwa na upinzani mkali na jamii ya kimataifa, makundi na harakati za kisiasa katika nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3475034   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/13

TEHRAN (IQNA)- Jumamosi usiku magaidi walishambulia mtaa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Herat nchini Afghanistan ambapo watu wasiopungua saba waliuawa na wengine 10 walojeruhiwa.
Habari ID: 3474842   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

Hujjatul Islam Shahriyari
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam wal Muslimin Shahriari amesema itikadi ya Ukufurishaji ni kati ya njama za mabeberu na Wazayuni dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474640   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mahmoud Shaltut wa Misri alikuwa miongoni mwa wanazuoni walioanzisha harakati ya kukurubisha madhehebu za Kiislamu na alitoa fatwa ya kihistoria kuhusu Ushia.
Habari ID: 3474491   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi wa Iraq amesisitiza kuhusu ulazima wa wanazuoni na maulamaa wa Kiislamu dunaini kuwa macho ili kuzuia njama za maadui za kuchochea mifarakano baina ya Waislamu.
Habari ID: 3474452   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21

TEHRAN (IQNA)- Hujuma dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wakati wa Sala ya Ijumaa huko Kandahar, Afghanistan imelaaniwa vikali na Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar na Mufti wa Misri.
Habari ID: 3474430   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika Tehran na kushirikisha wasomi 50 maarufu duniani.
Habari ID: 3474429   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha magaidi wakufurishaji kuushambulia msikiti wa Bibi Fatima wakati wa Sala ya Ijumaa mjini Kandahar nchini Afghanistan.
Habari ID: 3474428   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16

TEHRAN (IQNA)- Hujuma ya kigaidi imelenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Kandahar, Afghanistan na kuepelekea waumini wasiopungua 32 kuuawa shahidi na wengine zaidi ya 53 kujeruhiwa.
Habari ID: 3474426   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)- Mji mkuu wa Uingereza, London, hivi sasa ni mwenyeji wa maonyesho makubwa na ghali zaidi ya Kiislamu ambayo yanaangazia kikamilifu maisha ya binamu yake Mtume Muhammad SAW, Imam Ali AS.
Habari ID: 3474412   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar Misri na Mufti Mkuu nchini humo wametoa taarifa na kulaani vikali hujuma ya kigaidi ya Ijumaa dhidi ya Msikiti wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia ambapo watu takribani 100 wameuawa.
Habari ID: 3474399   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09

TEHRAN (IQNA)- Waandaaji wa Mkutano wa 35 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu wamealika wasomi, wanafikra na wataalam kutuma makala zao katika kongamano hilo.
Habari ID: 3474273   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/08

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Lebanonm Sheikh Abdul Amir Qabalan ambaye aliyefariki dunia Jumamosi anatazamiwa kuzikwa Jumatatu.
Habari ID: 3474262   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/05

TEHRAN (IQNA) Kundi kuu la upinzani la Bahrain, Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, imelaani mashambulio na uchokozi wa utawala Al Khalifa wakati wa maombolezo ya Muharram.
Habari ID: 3474217   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/22

TEHRAN (IQNA)- Wanaharakati wa haki za binadamu wameonya kuwa, utawala wa Aal-Saud unapanga kuwanyonga makumi ya vijana Waislamu wa madhehebu ya Shia mkoani Qatif mashariki mwa Saudi Arabia.
Habari ID: 3474025   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/20

TEHRAN (IQNA)- Makumi ya raia, aghalabu wakiwa wasichana wa shule waliuawa shahidi Jumamosi katika hujuma ya kigaidi dhidi ya shule ya Sayyid al Shuhadaa katika mtaa wa Dasht-e-Barchiwenye Waislamu wengi wa madhehebu ya Shia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
Habari ID: 3473898   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/11

TEHRAN (IQNA)0 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga shule ya msingi ya Sayed Al-Shuhada mjini Kabul na kuitaja jinai hiyo kuwa ni njama ya Wamarekani ya kutaka kuhuisha ugaidi wa makundi ya kitakfiri na kuvuruga tena amani nchini Afghanistan.
Habari ID: 3473895   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/10

TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa ngazi za juu wa wanazuoni kutoka Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha Misri ulitembelea Iran nusu karne iliyopita ikiwa ni katika jitihada za wanazuoni wa Shia na Sunni kuleta umoja wa Kiislamu na ukuruba wa madhehebu.
Habari ID: 3473860   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/29

TEHRAN (IQNA) - Wanazuoni zaidi ya 12 wa Kiislamu kutoka madhehebu ya Shia wanashikiliwa bila kufunguliwa mashtaka nchini Saudi Arabia huku ufalme huo ukishadidisha ukandamizaji wa jamii za waliowachache nchini humo.
Habari ID: 3473482   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22