Jeshi la Nigeria limemkamata kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya kutekeleza hujuma nyumbani kwake kaskazini wa nchi hiyo.
Habari ID: 3462774 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/13
Waislamu katika eneo la Qatif Saudi Arabia Ijumaa hii wametoa wito wa kusitishwa hukumu ya kunyongwa mwanazuoni maarufu wa Kiislamu katika eneo hilo Sheikh Nimr Baqir An Nimr.
Habari ID: 3460127 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06
Kundi la kigaidi Boko Haram limetangaza kuhusika na shambulio dhidi ya msafara wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia waliokuwa katika msafara wa maombolezo ya Imam Hussein AS jimbo la Kaduna nchini Nigeria.
Habari ID: 3458202 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29
Waandamanaji wamejitokezwa kwa wingi nchini Saudi Arabia katika Mkoa wa Mashariki kubainisha hasira zao kufuatia uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya juu ya nchini humo iliyotoa hukumu ya kifo dhidi ya mwanazuoni maarufu wa Ki shia Sheikh Nimr Baqir al-Nimr.
Habari ID: 3447680 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/13
Vijana wanne wa Ki shia nchini Saudi Arabia wamefanikiwa kuchukua nafasi za juu katika awamu ya tatu wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani na Hadithi yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3446588 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/10
Umoja wa Mataifa umetakiwa kuingilia kati na kuuzuia utawala wa Saudi Arabia kutekeleza hukumu ya kifo dhidi ya Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3395089 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/27
Katika jitihada za kuleta umoja baina ya Waislamu wa madhehebu ya Shia, kumefanyika Majlisi za maombolezo Mwezi wa Muharram katika msikiti wa Masunni ambapo khatibu alikuwa ni mwanazuoni wa Ki shia katika Kituo cha Kiislamu cha Dearborn, Michigan nchini Marekani.
Habari ID: 3391260 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (ISESCO) limelaani vikali hujuma ya kigaidi dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa katika majlisi ya maombolezo ya siku 10 za Muharram nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3388672 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/18
Waislamu watano wa madhehebu ya Shia wameuawa nchini Saudi Arabia kufuatia hujuma ya kundi la kigaidi la Daesh au ISIS katika majlisi ya maombolezo ya siku 10 za Muharram.
Habari ID: 3386096 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/17
Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya baadhi ya wanazuoni wa Saudi Arabia ya kutangaza kile walichotaja kuwa Jihad dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Wakristo nchini Syria.
Habari ID: 3385681 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14
Ayatollah Araki
Katibu mkuu wa Jumuiya ya Kimatiafa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu Ayatollah Mohsen Araki ametoa wito kwa wanazuoni wa Kiislamu kufuatilia suala la kuundwa Umoja wa Nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3384011 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/11
Mahathir Mohammad
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia Mahathir Mohammad ametoa wito kwa Waislamu wa madhehebu ya Sunni waliowengi Malaysia kuwakibali Ma shia kama Waislamu wenzao ili kzuia mapigano ya madhehebu nchini humo kama yale yanayoshuhudiwa katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3362892 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/15
Kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) limetekeleza miripuko ya mabomu kwenye msikiti wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia katika mji mkuu wa Yemen Sana'a na kupelekea waumini wasiopungua 32 kupoteza maisha.
Habari ID: 3357626 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/03
Shekhe Mkuu wa Al Azhar Sheikh Ahmed el-Tayeb amesisitiza kuhusu umuhimu wa kudumisha umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3351450 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/25
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar nchini Misri amesema kuwa, hakuna tatizo lolote katika kuwakurubisha pamoja Waislamu wa madhehebu ya Suni na Shia.
Habari ID: 3345811 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullahil Udhma Khamenei Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inazinyooshea mkono wa urafiki serikali zote za Kiislamu za eneo na wala haina tatizo lolote na serikali za Kiislamu.
Habari ID: 3345403 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Kiislamu
Msomi wa Kiislamu Uingereza Dkt. Kamal Helbawi amesema wito wa Chuo Kikuu cha Al Azhar Misri wa kutaka kufanyike kikao cha pamoja baina ya maulamaa wa Ki shia na Kisuni ni fursa nzuri ya kuondoa fitina zilizopo katika jamii za Waislamu duniani.
Habari ID: 3339022 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/05
Waislamu wa madhehebu ya Shia na wenzao wa Ahlu Sunnah, wamesali pamoja katika moja ya misikiti ya mkoa wa Qatif, mashariki mwa Saudia.
Habari ID: 3324232 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/07
Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha kidini cha al Azhar nchini Misri amepinga hatua ya wahubiri wa Kiwahabi na Kisalafi ya kutumia kauli isiyofaa ya ‘Rafidh’ kuwataja Wapenzi wa Ahul Bayt wa Mtume SAW.
Habari ID: 3323156 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/04
Mahakama moja nchini Misri imewahukumu kifungo hafifu cha miaka 14 jela watu 23 waliokuwa wanatuhumiwa kwa kutekeleza mauaji dhidi ya Waislamu wanne wa Ki shia hapo mwezi Juni mwaka 2013 nchini humo.
Habari ID: 3314097 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/14