iqna

IQNA

pombe
Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) amepuulizia mbali mashinikizo ya kutaka kuruhusiwa pombe viwanjani wakati wa fainali za Kombe la Dunia zinazoanza leo nchini Qatar.
Habari ID: 3476117    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20

TEHRAN (IQNA)- Paul Pogba mchezaji mashuhuri wa Timu ya Taifa ya Ufaransa ameondoa chupa ya pombe iliyokuwa imewekwa mbele yake kwa lengo la kutangaza shirika moja la utegenezaji pombe .
Habari ID: 3474013    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/17