Qur’ani Tukufu Siku za Muharram
Jumla ya maonyesho 100 ya Qur'ani yataandaliwa katika mikusanyiko inayoongoza ya waombolezaji wakati wa mwezi wa maombolezo wa Muharram mwaka huu, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479090 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/08
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, majilisi za Muharram maombolezo ya Bwana wa mashahidi, Imam Hussein AS zinaletaa rehma na baraka za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3474179 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/11