iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki amesema wanandoa wawili raia wa utawala haramu wa Israel waliokamatwa nchini humo wiki iliyopita walikuwa wanatekeleza u jasusi wa kijeshi na kisiasa.
Habari ID: 3474572    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/18