iqna

IQNA

IQNA – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) limeitaka kampuni ya uwekezaji ya Sequoia Capital kumwondoa mshirika wake Shaun Maguire, kufuatia chapisho la mitandao ya kijamii lililokosolewa vikali kwa kuendeleza chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3480934    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/12

Wanasiasa Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika Kusini, diwani Muislamu kutoka chama kidogo cha Al Jama-ah amechagualiwa kuwa Meya wa Jiji la Johannesburg, kitovu cha biashara cha nchi hiyo.
Habari ID: 3476528    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/07

Waislamu na siasa Ulaya
TEHRAN (IQNA) - Akhtar Zaman amechaguliwa kama meya mpya wa mji wa Bolton nchini Uingereza, na kuwa Muislamu wa kwanza anayechukua nafasi hiyo.
Habari ID: 3475285    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

Sadiq Khan wa chama kikuu cha upinzani cha Leba nchini Uingereza amechaguliwa kuwa Meya wa mji wa London na hivyo kuwa Meya wa kwanza Mwislamu kuuongoza mji huo mkuu.
Habari ID: 3470297    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/07