Ramadhani Palestina
IQNA - Waislamu wa Palestina huko Gaza wamebakia imara katika Imani na hivyo wana azma ya kutekeleza ibada zote za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kukusanyika katika mabaki ya misikiti iliyoharibiwa na mabomu ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3478485 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Msururu wa kozi za mafunzo zimefanyika hivi karibuni ili kuwafundisha wanawake 1,352 wanaojitolea kuwasaidia waumini wanaoelekea kwenye Msikiti wa Mtume yaani Al-Masjid an-Nabawi, eneo la pili kwa utakatifu katika Uislamu, katika mji wa Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3478473 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Fanous (taa) imekuwa ishara ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika baadhi ya nchi kwa mamia ya miaka. Taa hii pia ni maarufu kama Fanous Ramadhan.
Habari ID: 3478470 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08
Hali ya Palestina
IQNA - Mashambulio yasiyokoma ya utawala katili wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza uliozingirwa yamewanyima Waislamu duniani furaha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478469 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08
Umrah
IQNA – Waislamu wanaotekeleza Hija ndogo Umrah ndio pekee wataruhusiwa kufanya Tawaf (kuzunguka Kaaba Tukufu) katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al-Haram, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478465 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07
Kadhia ya Palestina
IQNA - Msemaji wa Harakati ya Ansarullah inayotawala Yemen amesisitiza kwamba jambo muhimu zaidi kwa Waislamu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni uungaji mkono kwa Wapalestina wanaoteseka huko Gaza.
Habari ID: 3478464 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07
Ramadhani
IQNA - Barabara kuu ya kati huko Frankfurt, Ujerumani, itapambwa kwa taaza zenye nembo za hilali nyota na mapambo mengine kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478463 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07
Kadhia ya Palestina
IQNA - Utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina umetangaza siku ya Jumanne kwamba utawaruhusu waumini kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika eneo la Quds (Jerusalem) katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Ramadhani, na hivyo kutupilia mbali mpango wa awali wa kuweka vizuizi.
Habari ID: 3478461 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Mazulia katika Al-Rawdah Al-Sharifa katika Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) huko Madina yamebadilishwa kwa ajili ya maandalizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478460 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, Misri inapanga kutuma wasomaji Qur'ani na wahubiri katika nchi mbalimbali katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3478459 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Tovuti ya kielektroniki imezinduliwa nchini Saudi Arabia ambapo watu wanaweza kuomba vibali vya kula futari kwa makundi kwenye Msikiti Mkuu wa Makaa
Habari ID: 3478455 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05
Kadhia ya Palestina
IQNA - Makundi kadhaa ya wapigania ukombozi wa Palestina yametoa wito kwa watetezi wa haki kote ulimwenguni kujiunga na kampeni ya kimataifa iliyopewa jina la "Kimbunga cha Ramadhani.
Habari ID: 3478449 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04
IQNA- Wapalestina wanaoishi katika kambi za wakimbizi Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza, wanajiandaa kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku wanajeshi wa Israel wakiendelea vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3478445 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04
Jinai za Israel
IQNA - Waziri wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amesema mwezi mtukufu wa Ramadhani unapaswa 'kufutwa' ili kuepusha taharuki katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3478440 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02
Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Uzembe na kusahau au kughafikila ni miongoni mwa sifa za binadamu. Mbinu ya kukabiliana nao ni kuarifiwa kila mara kuhusu masuala muhimu.
Habari ID: 3476916 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/26
Siku Kuu
TEHRAN (IQNA)-Waislamu kote ulimwenguni leo wameanza kusherehekea moja ya karamu zao muhimu zaidi, Idul Fitr.
Habari ID: 3476896 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/21
Kikao cha Kusoma Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Kikao cha Kusoma Qur’ani Tukufu cha Wanawake wa Ulimwengu wa Kiilamu kinafanyika leo hapa mjini Tehran kwa kushirikisha wanawake kutoka Iran na kwingineko katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476892 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/20
Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Katika saa hizi tunazoelekea mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, tunapaswa kumuomba Mwenyezi Mungu atujaalie rehema zake zisizo na kikomo.
Habari ID: 3476891 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/20
Makka na Madina
TEHRAN (IQNA) - Mnamo usiku wa 27 wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, unaoaminika kuwa Usiku wa Qadr, mamilioni ya waumini walijaa Msikiti Mkuu ya Makka (Masjid al Haram) na Msikiti wa Mtume SAW (Masjid An Nabawi) huko Madina.
Habari ID: 3476885 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/18
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3476847 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/11