Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 22 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478615 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/02
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala hivi karibuni ilihitimisha awamu ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kusoma Qur’ani, ambayo yamefanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478612 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01
Maombolezo
IQNA - Zaidi ya waumini milioni moja walikusanyika kwenye HaramTukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq katika maombolezo yaliyofanyika wakati wa kumbukumbu ya kifo chake cha kishahidi na kushika sambamba na ibada za Usiku wa Laylatul Qadr.
Habari ID: 3478611 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01
IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametembelea Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran tarehe 30 Machi 2024. Pia alihudhuria hafla ya kuwaenzi watumishi 15 wa Qur'ani.
Habari ID: 3478610 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 21 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478609 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01
IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Karim Mansouri alisoma aya za Qur'ani Tukufu katika Kipindi cha Televisheni cha Mahfel kinachorushwa kila siku kupitia Kanali ya Tatu ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB).
Habari ID: 3478607 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/31
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 20 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478606 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/31
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 19 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478602 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/30
Umrah na Ramadhani
IQNA - Katika nusu ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, karibu Waislamu milioni 15 walikwenda kwenye Msikiti wa Mtume SAW yaani Al-Masjid an-Nabawi huko Madina, eneo la pili takatifu katika Uislamu, kulingana na afisa wa Saudia.
Habari ID: 3478601 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA – Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kimefika ukingoni Alhamisi
Habari ID: 3478599 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 18 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478597 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 17 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478594 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/28
Qur'ani Tukufu
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 16 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478587 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/27
Ukanda wa Gaza
IQNA – Mjumuiko mkubwa wa futari umefanyika katika mji wa Rafah, kusini mwa Gaza, licha ya kuendelea mashambulizi ya utawala haramu Israel dhidi ya mji huo.
Habari ID: 3478586 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Hafla itafanyika katika toleo la 31 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran kuwaenzi wanaharakati na watumishi kadhaa mashujaa wa Qur'ani na wengine wanaotumikia Kitabu Kitukufu.
Habari ID: 3478585 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Jumuiya ya Wanafunzi Waislamu wa Kisomali (SSA) ya Chuo Kikuu cha Washington Seattle (SSA) imelengwa kwa barua ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3478584 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ni fursa ya kujenga maingiliano na ushirikiano kati ya mataifa ya Kiislamu katika nyanja tofauti zikiwemo sanaa, tafsiri na usomaji, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478583 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 15 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478582 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478581 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/02
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478580 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01