iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kinachowangoja waumini baada ya mfungo wa mwezi mmoja ni Idi adhimu ambayo imetolewa kwa wale ambao wametoka kwa mafanikio katika Ramadhani ambao ni mwezi wa ugeni na rehema zisizo na kikomo za Mwenyezi Mungu
Habari ID: 3475198    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Jumuiya ya Kiislamu ya Raleigh katika jimbo la North Carolina nchini Marekani, ambacho ni msikiti na mahali pa kukutania jamii ya Waislamu, kimejitokeza ili kuhakikisha kila mtu aliyefunga anakuwa na Ramadhani yenye furaha.
Habari ID: 3475190    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/30

TEHRAN (IQNA)- Moja ya mambo ambayo yamesemwa kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kwamba mkono wa shetani umefungwa ndani ya mwezi huu.
Habari ID: 3475169    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/25

TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya milo milioni 3 ya futari ilitolewa kwenye Msikiti Mkuu wa Makka katika siku 20 za mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu wa 1423 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3475164    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24

TEHRAN (IQNA)- Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW, Masjid an-Nabawi, mjini Madina umesajili watu 4,000 watakaoshiriki katika Itikafu wakati wa siku 10 za mwisho za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475156    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/22

Waziri Mkuu wa Malaysia
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Malaysia aliwataka Waislamu kuisoma na kuielewa kwa kina Qur'ani Tukufu ili wawe miongoni mwa wachamungu.
Habari ID: 3475142    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/19

TEHRAN (IQNA)- Dua ya Al-Iftitah ni miongoni mwa dua zinazofungua milango ya matumaini na rehema ya Mwenyezi Mungu kwa watu waliokata tamaa, na inapendekezwa isomwe katika mikesha ya Ramadhani.
Habari ID: 3475122    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/13

TEHRAN (IQNA)- Wakaazi wa eneo moja Cape Town, Afrika Kusini, wamepewa zawadi dhifa ya futari kwa mara ya kwanza huku Waislamu duniani kote wakiwa katika mwezi mtakatifu wa Ramadan.
Habari ID: 3475117    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/12

TEHRAN (IQNA)- Katika Saumu ya Ramadhani, waumini hawali au kunywa lakini ni wazi kwamba kufunga sio tu kuweka kujizuia kunywa na kula.
Habari ID: 3475115    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/11

TEHRAN (IQNA)-Warsha imefanyika nchini Uganda kuhusu kuifahamu Qur'ani Tukufu na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475103    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/09

TEHRAN (IQNA)- Niyyah au nia ni msingi muhimu wa ibada katika Uislamu na nukta hii inapata umuhimu mkubwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475102    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Ramadhani ni mwezi wa ugeni na rehema zisizo na kikomo za Mwenyezi Mungu, na kwamba kutakasa nafsi, kuanisika kunakoambata na kutafakari kwa kina na kuelewa vyema Qur'ani ni miongoni mwa mambo muhimu yanayomuwezesha mwanadamu kufaidika na ugeni huo wa Mola Karima.
Habari ID: 3475094    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/04

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameshikamana na Waislamu wote duniani ambapo amewatakia heri na baraka wakati wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475091    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/03

TEHRAN (IQNA) - Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi Wapalestina watatu kwa kuwapiga risasi katika mji wa Jenin, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3475090    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/03

TEHRAN (IQNA)-Kwa kupunguzwa kwa vikwazo vilivyowekwa kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa corona, nchi mbalimbali za Kiarabu zitashuhudia kurudi kwa mijimuiko ya ibada maalum za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475089    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/31

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon anatazamiwa kutoa hotuba Ijumaa kwa mnasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475087    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/30

TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya Wapalestina walisaidia katika kusafisha Msikiti wa Al-Aqsa huko katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao uko katika sehemu ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kukoloniwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475082    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/28

TEHRAN (IQNA)- Huku Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukikaribia, wanafunzi 700 wamehitimu somo la kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu ambapo wote waliofuzu watatumwa katika misikiti mbali mbali nchini humo.
Habari ID: 3475071    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuidhinisha tena hema za futari wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani baada ya hema hizo kufungwa kwa muda wa miaka miwili kutokana na janga la corona au COVID-19.
Habari ID: 3475047    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15

TEHRAN (IQNA)- Mijumuiko mkiubwa ya futari itaruhusiwa tena katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram katika mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuzuiwa kwa muda wa miaka miwili kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3475045    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15