iqna

IQNA

Janga la virusi vya COVID-19
TEHRAN (IQNA)-Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unatazamiwa kuanza wiki ijayo na Wailsamu takribani milioni moja Uholanzi watajiunga na wenzao duniani katika kufunga Saumu.
Habari ID: 3473799    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/10

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Morocco imetangaza kuwa itatekeleza sheria ya kutotoka nje usiku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu nchini humo.
Habari ID: 3473797    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/09

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu ya Al Azhar kwa mara nyingine imesisitiza kuhusu Fatwa yake ya awali kuwa kudungwa chanjo ya COVID-19 au corona hakubatilishi Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473791    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/07

TEHRAN (IQNA)- Sala ya Tarawih imepigwa marufuku nchini Oman kwa lengo la kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona huku sheria ya kutotoka nje usiku ikitekelezwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473785    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/05

TEHRAN (IQNA) – Radio ya Qur’an ya Qatar imetangaza kuwa tayari kurusha hewani vipindi maalumu vya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473784    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/05

TEHRAN (IQNA) –Pakistan imetangaza maelekezo ya kufuatwa na Waislamu misikitini katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kuzuia kuenea corona au COVID-19.
Habari ID: 3473782    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/04

TEHRAN (IQNA)- Misri imesema itaruhusu Sala ya Tarawih katika baadhi ya misikiti tu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473775    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31

TEHRAN (IQNA)- Zoezi la kuwasajili washiriki wa Awamu ya 14 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Televisheni ya Al Kauthar linaendelea.
Habari ID: 3473764    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/27

TEHRAN (IQNA) – Finali ya mwisho ya mashindano kitaifa ya Qur’ani Jordan imepangwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473748    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/19

TEHRAN (IQNA) -Jumuiya ya Kiislamu Bangladesh imesema Waislamu wanaweza kudungwa chanjo ya COVID-19 au corona katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hakubatilishi Saumu.
Habari ID: 3473740    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/16

TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Misri na baadhi ya maeneo ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na wametangaza kuwa mijumuiko ya umma ya Futari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni marufuku ili kuzuia kuenea virusi vya Corona au COVID-19.
Habari ID: 3473716    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08

TEHRAN (IQNA)- Maeneo yote ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Al Quds (Jerusalem) yatakuwa wazi kwa waumini Waislamu kwa ajili ya ibada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473681    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/25

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 22 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia yatafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika siku zitakazosadifiana na Aprili 2021.
Habari ID: 3473465    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

TEHRAN (IQNA) – Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini India amesisitiza umuhimu wa Waislamu kudumisha mafanikio waliyoweza kuyapata katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472804    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26

TEHRAN (IQNA) – Kila mwaka kwa kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, familia za wenyeji wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati hujumuika pamoja zaidi ya wakati wowote mwingine katika makwa.
Habari ID: 3472782    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19

TEHRAN (IQNA) – Tokea mwaka 1975, Wakristo nchini Misri wamekuwa wakiwatayarishia Waislamu futari katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472769    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/15

TEHRAN (IQNA) – Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa Ibada ambao huwajumuisha Waislamu kwa lengo moja.
Habari ID: 3472764    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14

TEHRAN (IQNA) - Tokea zama za kale, Waislamu nchini Misri hufyatua mizinga baada ya kuonekana hilalii ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kwa njia hiyo watu wote wapata habari za kuwadhia mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3472760    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/12

TEHRAN (IQNA) – Misikiti 37 nchini Singapore imeungana na kuchanga dola laki sita kwa ajili ya kutoa futari kwa Waislamu wanaofunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472749    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/09

TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Kiislamu ya Dar Al-Hijrah ya Virginia nchini Marekani inagawa chakula kwa wanaohitajia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472747    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08