TEHRAN (IQNA) – Huku Waislamu kote Uingereza wakihangaika kujikimu, Mfuko wa Kitaifa wa Zakat (NZF) umeripoti ongezeko la asilimia 90 la maombi ya mahitaji muhimu kama vile chakula na nguo ikilinganishwa na mwaka jana.
Habari ID: 3475042 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Morocco imetangaza hatua za kuhakikisha kutovurugwa usambazaji wa maji wa chakula na bidhaa za kimsingi ili kukidhi mahitaji ya raia katika mwezi mtukufu ujao wa Ramadhani.
Habari ID: 3475010 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/05
TEHRAN (IQNA)- Kwa mwaka wa pili mfululizo, Waislamu wamefunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani janga la COVID-19 likiwa limeenea duniani kote.
Habari ID: 3473879 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/05
TEHRAN (IQNA)- Haram Takatifu ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani (AS) katika eneo la Rey, kusini mwa Tehran imeandaa vikao vya amali katika usiku kwa kwanza wa Laylatul Qadr katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473868 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/02
TEHRAN (IQNA) - Tunaingia kumi la mwisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na hili ni kumi ambalo ndani yake kuna Laylatul-Qadr.
Habari ID: 3473866 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/01
TEHRAN–(IQNA) - Ligi Kuu ya Soko Uingereza(England)-EPL-, imewaruhusu wachezaji Waislamu kufungua suamu ya Mwezi Mtukufu waRamadhani kati kati ya mechi.
Habari ID: 3473862 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/30
TEHRAN (IQNA)- Paul Pogba, mchezaji mahiri wa timu ya Manchester United katika Ligi Kuu ya Premier nchini Uingereza anasema atakuwa amefunga saumu ya Ramadhani wakati wa mechi baina ya timu yake na Leeds United Jumapili 25 Aprili mchana.
Habari ID: 3473846 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/24
TEHRAN (IQNA)- Rais Muhamadu Buhari huhudhuria darsa za tafsiri ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473837 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ujerumani imeidhinisha adhana kupitia vipaza sauti misikitini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3473836 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21
TEHRAN (IQNA)- Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambao ni mwezi wa rehma, maghfira na kuokolewa kutoka moto. Pia ni mwezi ambao iliteremshwa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473834 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/20
TEHRAN (IQNA)-Mwezi Mtukufu wa Ramadhani si tu kuwa ni fursa ya Muislamu kujijenga na kujiboresha bali pia ni fursa ya kuiboresha jamii.
Habari ID: 3473832 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/20
TEHRAN (IQNA)- Saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani humsaidia mja kuwa na nidhamu katika maisha.
Habari ID: 3473826 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/18
TEHRAN (IQNA) – Qarii maarufu wa Qur’ani Tukufu nchini Misri ametuma ujumbe kwa Waislamu kote duniani kwa mnasaba wa kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473823 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/17
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Kiislamu nchini Ufaransa kimeandaa mashindano kuhusu mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473821 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/16
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vikwazo na kusema sera za Iran ziko wazi kuhusu JCPOA na vikwazo. Ameongeza kuwa sera hizo amezibainisha wazi kwa wakuu wa nchi kupitia maandishi na katika mikutano.
Habari ID: 3473814 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/14
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametuma ujumbe wa salamu za pongezi, kheri na baraka kwa Maspika wa Mabunge ya nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mfungo wa mwezi mtukuufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473812 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/14
TEHRAN (IQNA) - Kwa mara nyingine tena mbingu zimefunguka na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani uko nasi.
Habari ID: 3473811 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/13
TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika baadhi ya nchi wameanza Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mnamo Aprili 13 baada ya mwezo mwandamo kuonekana Jumatatu katika baadhi ya maeneo ya dunia.
Habari ID: 3473808 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/13
Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kitendo cha Saudia kuendeleza mzingiro dhidi ya Yemen katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni kitendo kilicho dhidi ya ubinadmau.
Habari ID: 3473803 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/11
TEHRAN (IQNA)-Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran mwaka huu yatafanyika kwa njia ya intaneti kuanzia Mei 1 hadi 10.
Habari ID: 3473801 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/11