IQNA – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imewataka Wapalestina kufika katika Msikiti wa Al-Aqsa katika al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, ikiwahimiza kushiriki katika ibada, ikiwemo itikafu.
Habari ID: 3480283 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01
IQNA – Ofisi ya kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, imetangaza Jumapili, Machi 2, kuwa siku ya kwanza ya Ramadhani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3480281 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01
IQNA – Chini ya "Mpango wa Wasomaji Mahiri," wasomaji 170 wa kipekee wa Qur'ani Tukufu watateuliwa kwa misikiti huko Sharjah, Umoja wa Falme za Kiarabu, kuongoza waumini wakati wa sala za Ramadhani.
Habari ID: 3480279 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/28
IQNA – Huku mwezi mtukufu wa Ramadhani ukikaribia, kumekithiri kampeni za kususia tende zinazozalishwa au kufungashwa katika maeneo ya Palestina ambayo yametekwa na kukaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3480272 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26
IQNA – Mpango wa usimamizi wa mwezi mtukufu wa Ramadhan umezinduliwa katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3480270 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26
IQNA – Inaripotiwa kuwa utawala haramu wa Israel unazingatia kutekeleza vikwazo vipya kuhusu kuingia Waislamu katika Msikiti wa Al-Aqsa na eneo lake la karibu katika Mji wa Kale wa al-Quds (Jerusalem) kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480266 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/25
Utamaduni
IQNA – Ramadhani ni mwezi wa tisa na mtukufu zaidi katika kalenda ya Kiislamu, ambapo Waislamu hufunga kutoka alfajiri hadi machweo.
Habari ID: 3480265 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/25
IQNA – Nchini Misri, Wizara ya Wakfu imeanzisha kampeni ya kitaifa ya kusafisha na kuandaa misikiti kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480259 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/23
IQNA – Saudi Arabia imeanzisha kanuni mpya zinazozuia matumizi ya kamera katika misikiti hasa kupiga picha maimamu na waumini wakati wa Sala katika mwezi ujao wa Ramadhani.
Habari ID: 3480252 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/22
IQNA – Wanafunzi Waislamu katika shule moja ya California ambao wanafunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani watapewa ‘chakula cha kubeba’ na shule hiyo.
Habari ID: 3480251 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/22
IQNA – Kampeni iliyopewa jina “Kwa Jina la Ushindi” imezinduliwa na Taasisi ya Astan Quds Razavi (Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Ridha -AS-) nchini na itaendelea hadi mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480238 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/18
IQNA – Televisheni ya Qur'ani ya Misri itarusha vipindi mbalimbali vya Qur'ani ili kuongeza hali ya kiroho katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480234 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/18
IQNA – Wazazi na walimu nchini Marekani wametakiwa kuhudhuria webinari (warsha za mtandaoni) mbili zijazo zinazolenga kuunga mkono wanafunzi Waislamu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480210 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13
Qiraa ya Qur'ani
IQNA – Sheikh-ul-Qurra (mbora wa maqari) wa Bangladesh ni miongoni mwa maqari ambao qiraa yake imevutia wengi katika cha Televisheni cha Mahfel.
Habari ID: 3478678 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/13
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kanali ya Televisheni ya Al-Kawthar yamemalizika tamati, huku qari wa Iran Ustadh Mostafa Hemmat Qassemi akishinda tuzo ya juu zaidi.
Habari ID: 3478668 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 30 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478665 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10
Idul Fitr
IQNA - Ramadhani, mwezi wa ibada na kujitolea, unafikia kilele kwa Waislamu kujiandaa kupokea malipo yao kutoka kwa Mwenyezi Mungu baada ya mwezi wa saumu na ibada.
Habari ID: 3478663 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10
Sikukuu ya Idul Fitr
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei anasema utawala wa Kizayuni wa Israel "lazima uadhibiwe na kutiwa adabu" kwa shambulio lake baya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
Habari ID: 3478662 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10
IQNA - Mamilioni ya Waislamu duniani kote husherehekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa matukio tofauti kama vile usomaji wa Qur'ani, futari ya pamoja na sala za jamaa.
Habari ID: 3478658 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 29 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478657 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09