ramadhani - Ukurasa 8

IQNA

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 9 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478550   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/20

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478548   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/25

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478547   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478546   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478545   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478544   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/21

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478543   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/20

Ujumbe wa Qur'ani
IQNA - Mchezaji nyota wa Hollywood, Will Smith amesema amavutiwa sana na Qur'ani Tukufu, na kuongeza kuwa kisa cha Nabii Musa (AS) katika Qur'ani kilikuwa na athari ya kusisimua kwake.
Habari ID: 3478542   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Mkuu wa sehemu ya Hijabu na Ifaf ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran ameleeza kuwa ni moja ya sehemu zinazotembelewa zaidi katika maonyesho hayo ya kila mwaka.
Habari ID: 3478540   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 8 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478538   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19

Utamaduni wa Qur'ani
IQNA – Kipindi maalum cha televisheni cha Mwezi wa Ramadhani  cha ‘Mahfel’ ni kazi ya Qur’ani na ndiyo maana kimebarikiwa na Mwenyezi Mungu, mmoja wa wataalamu wa kipindi hicho alisema.
Habari ID: 3478537   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 7 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478536   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

Ramadhani katika Qur'an /3
IQNA - Moja ya Hadith maarufu zilizosimuliwa kuhusu Ramadhani ni katika khutba ya Mtukufu Mtume (SAW) iliyotolewa katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Shaaban.
Habari ID: 3478535   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

Al-Masjid an-Nabawi
IQNA – Msikiti wa Mtume (SAW) Al-Masjid an-Nabawi katika mji wa Madina nchini Saudia ulishuhudia Waislamu wengi wakitiririka katika siku za kwanza za mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu, huku zaidi ya waumini milioni 5.2, wakiwemo wanaoshiriki Hija ndogo ya Umrah wakiingia katika msikiti huo kwa ajili ya Sala za kila siku.
Habari ID: 3478532   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn imeanza kurusha mashindano yake ya kwanza la kimataifa la usomaji wa Tarteel wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478531   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Waislamu Marekani
IQNA - Huko Houston, Marekani Waislamu wametangaza kususia hafla ya 25 ya kila mwaka ya Futari ambayo kulalmikia mwaliko kwa viongozi wa serikali.
Habari ID: 3478530   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Waislamu kote duniani wako katika sumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Huu ni mwezi ambao mbali na kufunga, Waislamu hukithirisha vitendo vya ibada, kutoa sadaqa na kujumuika pamoja jioni wakati wa futari.
Habari ID: 3478528   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

IQNA- Katika harakati inayoashiria istiqama, Wapalestina katika Ukanda wa Gaza siku ya Ijumaa walishiriki katika sala ya kwanza ya Ijumaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Machi 15 katika eneo lenye mabaki ya Msikiti wa Rafah ambalo ulibomolewa hivi karibuni katika hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478527   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 6 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478526   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17

Mwezi wa Ramadhani
IQNA-Neno Ramadhani linatokana na mzizi wa "Ra Ma Dha" na muundo wake wa wingi ni Ramadanat na Armidha. Maana yake ni joto kali na inasemekana Waarabu walipotaka kuitaja miezi ya mwaka, mwezi huu waliupa jina la Ramadhani kwa sababu wakati huo ilikuwa katika kipindi cha mwaka ambapo hali ya hewa ilikuwa ya joto sana.
Habari ID: 3478523   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16