iqna

IQNA

paludan
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Malmö nchini Uswidei (Sweden) imetoa waranti wa kukamatwa kwa mwanasiasa mwenye misimamo mikali wa Denmark mwenye asili ya Uswidei "Rasmus Paludan" ambaye hivi karibuni aliivunjia heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476964    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/06

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi (Sweden) kikundi cha vijana kusini mashariki mwa Uturuki kilisambaza maua ya waridi makanisani.
Habari ID: 3476449    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23

Waislamu Uswidi
TEHRAN (IQNA) - Chama kipya cha Waislamu nchini Uswidi (Sweden)kinataka kupiga marufuku kudhalilishwa kwa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475744    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06

Kuvunjiwa heshima Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi (Sweden) Jan Eliasson ametoa wito wa kukomesha uchomaji moto wa Qur'ani Tukufu unaofanywa na wafuasi sugu wa siasa kali za mrengo wa kulia, akibainisha kuwa kitendo kama hicho ni sawa na uhalifu chini ya sheria za Uswidi.
Habari ID: 3475647    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Rasmus Paludan, mwanasiasa mwenye msimamo mkali mwenye uraia wa Sweden na Denmark ambaye alizindua msafara wa kuteketeza moto Qur’ani Tukufu nchini Sweden hivi karibuni amekariri jinai yake hiyo yenye chuki dhidi ya Uislamu katika bustani ya jiji la Landskrona kusini mwa Sweden.
Habari ID: 3475310    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29