Ibada ya Hija
        
        TEHRAN (IQNA) –Sawa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi nyingine, raia wengi wa Morocco wanalazimika kufuta safari yao ya Hijja mwaka huu kutokana na  gharama  kubwa.
                Habari ID: 3475373               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/06/13
            
                        Ibada ya Hija
        
        TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Hija na Ziyara za Kidini la Iran amesema maafisa wa Saudi bado hawajajibu malalamiko ya nchi kadhaa juu ya kuongezeka kwa  gharama  za Hija mwaka huu wa 1443 Hijria Qamaria sawa na 2022 Miladia.
                Habari ID: 3475344               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/06/07