iqna

IQNA

Jinai za Israel
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umewauwa maprofesa 94 wa vyuo vikuu, mamia ya walimu, na maelfu ya wanafunzi katika Ukanda wa Gaza katika muda wa miezi mitatu, kwa mujibu wa shirika moja huru la kutetea haki za binadamu.
Habari ID: 3478233    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

Njia ya Ustawi/4
TEHRAN (IQNA) – Ta’lim ( elimu ) na Tarbiyah (malezi ya maendeleo ya tabia na mafunzo katika nyanja tofauti) ni malengo mawili ya Mitume wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477986    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Ibrahim / 7
Baadhi ya mbinu za elimu ni za kawaida miongoni mwa manabii wa Mwenyezi Mungu na mojawapo ni kuwa na uvumilivu katika kuelimisha watu.
Habari ID: 3477173    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/20

Hali ya Afghanistan
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imebainisha masikitiko yake kuhusu uamuzi wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan kuwapiga marufuku wanawake kuendelea na elimu katika vyuo vikuu nchini humo.
Habari ID: 3476291    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23

TEHRAN (IQNA)- Leo mji mtakatifu wa Mashhad umetanda furaha katika haram ya Ali bin Musa Ridha AS iliyoko katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3475362    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza juu ya ulazima wa vyuo vikuu kutoa mchango katika kujenga ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3447344    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kasi kubwa ya ki elimu iliyopo nchini Iran haipaswi kuachiwa kupungua kwa njia na sababu yoyote ile.
Habari ID: 3323615    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/05