Katika Kikao Nchi za Kiislamu Doha
IQNA-Katika kilele cha dharura cha nchi za Kiarabu na Kiislamu kilichofanyika jijini Doha, Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, alitoa onyo kali kuhusu mashambulizi ya Israeli ya Septemba 9 dhidi ya Qatar, akisema kuwa tukio hilo linaonyesha wazi kuwa hakuna nchi ya Kiarabu au Kiislamu iliyo salama dhidi ya uchokozi wa utawala wa Tel Aviv.
Habari ID: 3481239 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/15
Diplimasia ya Kiislamu
IQNA- Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yuko nchini Misri kuhudhuria mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu Zinazoendelea, D-8 - utakaofanyika Alhamisi.
Habari ID: 3479919 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
TEHRAN (IQNA) - Warsha ilifanyika hivi karibuni huko Jeddah, Saudia kuhusu uwekaji wa huduma za kidigitali katika mashirika ya ustawishaji uwekezaji katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC).
Habari ID: 3476321 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28
Utalii wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mawaziri wa Utalii wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wanatarajiwa kushiriki katika mkutano katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku kujadili maendeleo ya utalii katika nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3475430 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26