iqna

IQNA

Chuki dhidi ya Uislamu
Huku Waislamu katika kona zote za dunia wakiendelea kulaani na kupinga tukio la hivi karibuni la kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Uswidi, Kitabu hicho kitukufu cha Waislamu kimechomwa moto na kutupwa nje ya Msikiti mmoja nchini Ujerumani.
Habari ID: 3477267    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/12

Mazungumzo
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Hamburg nchini Ujerumani kimeandaa mazungumzo ya dini mbalimbali siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3477081    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/02

Chuki dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA) –Waislamu katika mji wa kati wa Ujerumani wa Goettingen wameeleza "wasiwasi" baada ya msikiti wao kupokea barua ya vitisho yenye nembo ya Kinazi ya Swastika na nembo nyinginezo za Wanazi mamboleo.
Habari ID: 3477047    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/26

Elimu
TEHRAN (IQNA) – Mtafiti wa historia ya Uislamu amesifu kazi za "thamani" i za mwanazuoni wa Kijerumani-Muingereza Wilferd Madelung aliyefariki hivi karibuni.
Habari ID: 3476993    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/13

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)-Filamu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii imemuonyesha mtoto mdogo wa Kiislamu akiondolewa kwa nguvu katika familia yake ya Kiislamu na maafisa wa "huduma za ulinzi wa watoto" na askari polisi wa Ujerumani kwa sababu wazazi wake wanadaiwa kumfundisha kwamba mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja hayakubaliki katika Uislamu.
Habari ID: 3476935    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/30

Wanamichezo Waislamu
Tehran (IQNA) - Picha za Sadio Mane mchezaji wa Timu ya Soka ya Taifa ya Senegal ambaye pia ni mchezaji wa Klabu Bayern Munich ya Ujerumani akisoma Qur’ani Tukufu imesambaa katika mitandao kijamii na kuwavutia .
Habari ID: 3476736    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/21

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa toleo la 9 la mashindano ya Qur'ani kwa Waislamu barani Ulaya walitunukiwa zawadi katika hafla ya kufunga iliyofanyika Ujerumani.
Habari ID: 3476711    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/15

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 9 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa Waislamu wa barani Ulaya yataanza Ijumaa mjini Hamburg, Ujerumani.
Habari ID: 3476681    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/09

Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Katika wakati huu wa kukarbia siku ya 15 ya mwezi wa Hijri wa Sha'aban, Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) mjini Berlin, Ujerumani, kimeandaa msururu wa mashindano ya watoto, vijana na vijana.
Habari ID: 3476639    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28

Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Maiti ya Muislamu mmoja ilichomwa moto nchini Ujerumani baada ya hospitali mjini Hannover kuchanganya maiti mbili.
Habari ID: 3476294    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23

Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Visa 120 vya uhalifu wa chuki dhidi ya Uislamu viliripotiwa nchini Ujerumani katika robo ya tatu ya mwaka huu.
Habari ID: 3476213    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/07

Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) - Mawe kadhaa ya makaburi ya Waislamu yameharibiwa kaskazini mwa Ujerumani siku ya Jumanne, amesema mkuu wa jumuiya ya Kiislamu eneo hilo.
Habari ID: 3476140    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24

Uislamu nchini Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa utafiti, chuki dhidi ya wageni na chuki dhidi ya Waislamu imekuwa ikiongezeka kwa kasi mashariki mwa Ujerumani.
Habari ID: 3476064    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Wawakilishi kutoka nchi 30 wanatazamiwa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani nchini Ujerumani mwezi Novemba.
Habari ID: 3475943    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17

Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza kabisa, Adhana imesikika katika moja kati ya misikiti mikubwa zaidi nchini Ujerumani mjini Cologne.
Habari ID: 3475931    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN(IQNA)- Mitazamo hasi na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Ujerumani.
Habari ID: 3475890    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Kupambana na Itikadi Kali ya Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar imesema imeashiria ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu nchini Ujerumani, na kusema hilo limeenda sambamba na kushadidi mashambulizi ya vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3475642    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Hamburg, Ujerumani.
Habari ID: 3475617    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/13

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
Habari ID: 3475593    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/08

Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA) - Kozi za Qur'ani Tukufu za Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, zimehitimishwa kwa sherehe Jumapili jioni.
Habari ID: 3475514    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17