TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hatua ya chuki ya serikali ya Ujerumani ya kuiita Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi na kusema kwamba, uamuzi huo unahudumia malengo ya utawala haramu wa Israel na Marekani.
Habari ID: 3472721 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/01
TEHRAN (IQNA)- Aidhana ilisikika kupitia vipaza sauti siku ya Ijumaa katika zaidi ya misikiti 100 ya Ujerumani na Uholanzi ikiwa ni hatua iliyotajwa ni ya mshikamano katika vita dhidi ya ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472633 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/04
TEHRAN (IQNA) – Polisi nchini Ujerumani Ijumaa waliwakamata watu 12 ambao wanashukiwa kuanzisha mtandano wa mrengo wa kulia wenye misimamo mikali kwa lengo la kutekeleza hujuma dhidi ya wanasiasa, wakimbizi na Waislamu.
Habari ID: 3472472 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/15
TEHRAN (IQNA) – Watu wasiojulikana wameuhujumu msikiti katika mji wa Ulm nchini Ujerumani katika tukio linalohesabiwa kuwa ni la chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3472456 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/10
TEHRAN (IQNA)- Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani Jumatatu ametembelea msikiti katika mji wa Penzberg na kutoa wito wa kuwepo hali ya kuheshimiana baina ya wafuasi wa dini mbali mbali.
Habari ID: 3472252 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/03
TEHRAN (IQNA) - Wahalifu wameuhujumu msikiti na kuvunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu maghairbi mwa Ujerumani.
Habari ID: 3472048 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/19
TEHRAN (IQNA)- Watoto wa shule moja ya chekechea ya Wakristo mjini Dusseldorf nchini Ujerumani wataanza kufunzwa Uislamu.
Habari ID: 3471872 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/12
TEHRAN (IQNA)- Wabunge katika muungano tawala nchini Ujerumani wamesema wanatafakari kuwashurutisha Waislamu kulipa ‘Ushuru wa Msikiti’ kama ambavyo Wakristo nchini humo wanatozwa ‘Ushuru wa Kanisa’.
Habari ID: 3471789 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/28
TEHRAN (IQNA)- Akademia ya Uislamu katika Sayansi na Jamii ya Chuo Kikuu cha Goethe nchini Ujerumani imetenga bajeti ya Euro milioni 2.7 katika mradi wa kufanya utafiti kuhusu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471788 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/27
Waziri wa Mambo ya Ndani
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Horst Seehofer amesema Waislamu ni sehemu ya jamii ya Ujerumani.
Habari ID: 3471756 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/30
TEHRAN (IQNA)- Msikiti mmoja umehujumiwa huko Ujerumani katika mji wa Gladbeck katika jinai ambayo inasadikiwa imetekelezwa na wanazi mamboleo wanaowachukia Waislamu.
Habari ID: 3471699 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/02
TEHRAN (IQNA)- Jengo moja ambalo limekuwa likitumiwa kama kanisa kwa muda mrefu mjini Humburg nchini Ujerumani sasa limegeuzwa na kuwa msikiti.
Habari ID: 3471694 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/28
TEHRAN (IQNA) - Msikiti mmoja umehujumiwa na kuharibiwa kaskazini magharibi mwa Ujerumani katika jimbo la Lower Saxony ambapo maandishi ya kibaguzi yamenadikwa katika kuta na nyama ya nguruwe kuachwa katika jengo la msikiti.
Habari ID: 3471667 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/11
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 15 ya Qur'ani ya watoto na mabarobaro yamefanyika mjini Hamburg nchini Ujerumani wiki hii.
Habari ID: 3471585 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/06
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Ujerumani wameituhumu serikali ya jimbo la Bavaria kuwa ina sera za undumakuwili baada ya kuamuru idara zote za umma kuweka misalaba katika maeneo maalumu.
Habari ID: 3471540 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/02
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Leba mjini Berlin, Ujerumani imesema baraza la mji lina haki ya kumzuia mwalimu Mwislamu kuvaa Hijabu na hivyo kutupilia mbali malalamiko yake ya kubaguliwa.
Habari ID: 3471505 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/11
TEHRAN (IQNA) – Misikiti mitatu ilihujumiwa katika maeneo tafauti ya Ujerumani siku ya Jumapili katika kile kinachoonekana na kuongezeka hisia za kuuchukuia Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471444 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/26
TEHRAN (IQNA)-Mahakama moja nchini Ujerumani imepiga marufuku adhana kwa kutumia vipaza sauti katika msikiti moja kwa madai kuwa eti wasiokuwa Waislamu wanakerwa.
Habari ID: 3471382 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/06
TEHRAN (IQNA)-Arthur Wagner, mwanasiasa aliyekuwa chuki dhidi ya Uislamu amebadili msimamo ghafla na kutangaza kuwa amesilimu na hivyo kuukumbatia Uislamu katika maisha .
Habari ID: 3471370 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/24
TEHRAN- (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuvunjia heshima msikiti ambao bado unajengwa katika mji wa Frankfurt, Ujerumani Jumanne.
Habari ID: 3471232 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/27