TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya misikiti 800 nchini Ujerumani ililengwa kwa vitisho au ilishambuliwa na wenye chuki dhidi ya Uislamu kuanzia 2014 hadi 2022.
Habari ID: 3475364 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11
Waislamu na michezo
TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya Ujerumani, alihudhuria sala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Istiqlal katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.
Habari ID: 3475305 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Msomo wa Kijerumani anaamini kwamba Qur'ani Tukufu imesaidia kuimarisha utambulisho wa Kikristo.
Habari ID: 3475262 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/17
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ujerumani imebatilisha uamuzi wake wa kumuenzi mwanahistoria wa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya matamshi yake ya kukana mauaji ya Waislamu.
Habari ID: 3474750 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01
TEHRAN (IQNA)- Mtu asiyejulikana anayeaminikwa kuwa ni mwenye chuki dhidi ya Uislamu ameushambulia msikiti mmoja huko Cologne, magharibi mwa Ujerumani mapema Ijumaa.
Habari ID: 3474581 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA) – Kitabu chenye anuani ya "Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia): Kabiliana Nayo kwa Jina la Amani" kimechapishwa kwa lugha ya Kiingereza nchini Ujerumani kwa ajili ya watoto.
Habari ID: 3474515 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Ujerumani wameruhusu adhana kupitia vipaza sauti wakati wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Cologne wenye Waislamu wengi.
Habari ID: 3474410 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11
TEHRAN (IQNA)- Kozi ya mafunzo ya kidini imeandaliwa kwa pamoja baina ya Chuo Kikuu cha Dini na Madhehebu cha Iran kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Ujerumani cha Paderborn.
Habari ID: 3474178 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/10
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Ujerumani imezindua chuo cha kiserikali cha kufundisha Uislamu ambacho kitakuwa na jukumu la kuwapa mafunzo maimamu ili kupunguza idadi ya maiamu wanaokuja nchini humo utoka nchi za kigeni.
Habari ID: 3474014 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/17
TEHRAN (IQNA)- Uchunguzi mpya unaonyesha kuwa, miaka ya hivi karibuni imeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya Waislamu nchini Ujerumani
Habari ID: 3473865 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/01
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ujerumani imeidhinisha adhana kupitia vipaza sauti misikitini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3473836 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya hujuma 900 zimeripotiwa dhidi ya Waislamu na taasisi za Kiislamu kote Ujerumani katika mwaka wa 2020.
Habari ID: 3473630 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/08
TEHRAN (IQNA)- Msikiti mmoja umehujumiwa katika mji wa Baden-Wurttemberg kusini magharibi mwa Ujerumani mara mbili katika kipindi cha wiki mbili.
Habari ID: 3473518 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/02
TEHRAN (IQNA)- Waendesha mashtaka nchini Ujerumani wamewafikisha kizimbani wanaume 10 wanachama wa mrengo wa kulia wa kibaguzi ambao walikuwa wanapanga kutekeleza hujuma dhidi ya Waislamu na kuipindua serikali ya Ujerumani.
Habari ID: 3473359 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/14
TEHRAN (IQNAQ)- Waislamu nchini Ujerumani watawakaribisha wasiokuwa Waislamu katika misikiti mnamo Oktoba 3 katika siku hii ambayo kila mwaka inajulikana kama ‘Siku ya Msikiti Wazi.’
Habari ID: 3473202 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/25
TEHRAN (IQNA) - Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani sambamba na kutoa pongezi kwa mnasaba wa Sikukuu ya Idul-Fitr, ametaka wananchi wote washirikiane kwa ajili ya kuwalinda Waislamu wa nchi hiyo.
Habari ID: 3472798 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/24
TEHRAN (IQNA) – Misikiti nchini Ujerumani imefunguliwa Jumamosi baada ya kufungwa kwa muda wa miezi miwili kutokana na janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472751 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/10
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiojulikana wameushambulia kwa mawe msikiti katika mji wa Cologne nchini Ujerumani katika tukio la chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3472750 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/09
Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amelaani hatua ya Ujerumani ya kuiita harakati hiyo kuwa eti ni kundi la kigaidi, na amesisitiza kuwa serikali ya Ujerumani imeshindwa kuwasilisha ushahidi wa kuthibitisha madai yake.
Habari ID: 3472735 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/05
TEHRAN (IQNA) – Ujerumani imeendelea kukosolewa kutokana na hatua yake ya kuipiga marufuku Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3472727 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/02