Ḥaqq al-Nas ((Haki za Watu) / 62
IQNA-Sababu ya kuharamishwa riba ni kuzuia kupotea mali za watu na pia kuzuia hamu ya watu kutoa sadaka na kutenda amali njema na zaidi ya yote kuzuia kuenea ufisadi na dhulma.
Habari ID: 3479546 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/06
Qur'ani Tukufu Inasemaje / 39
TEHRAN (IQNA) – Matokeo ya riba ni kwamba inasababisha watu dhaifu kifedha kupoteza mitaji yao yote na maisha yao kuharibiwa.
Habari ID: 3476194 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/04
Benki ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Katika hatua muhimu ya kusonga mbele Waislamu 800,000 wa Australia, nchi itashuhudia benki yake ya kwanza ya Kiislamu ikifunguliwa rasmi.
Habari ID: 3475927 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Uislamu unasisitiza juu ya mwingiliano mzuri wa kiuchumi, ukisisitiza kwamba mtu anapaswa kujitahidi kupata pesa kwa nj ambazo ni ‘Halal’ au kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3475830 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23
Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Utafiti mpya umegundua kuwa mfumo wa kifedha wa Kiislamu unastawi kwa kasi na uko tayari kwa ukuaji wa haraka katika miaka ijayo.
Habari ID: 3475693 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/28
Benki za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Sheria mpya inaandaliwa nchini Russia ambayo itasimamia benki za Kiislamu nchini humo katika jitihada za kuvutia wawekezaji kutoka nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3475510 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16