IQNA-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema mkutano wa kimataifa wa kila mwaka wa umoja wa Kiislamu utafanyika wiki hii mjini Tehran.
Habari ID: 3470739 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/13
Kongamano la Kwanza la Kuchunguza Fikra za Qur'ani za wasomi wa Iran na Senegal limepangwa kufanyika mwezi ujao wa Novemba katika mji wa Thiès magharibi mwa Senegal.
Habari ID: 3470627 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22
Kadinali Malcolm Ranjith wa Kanisa Katoliki Sri Lanka amempongeza hayati Imam Khomeini MA kwa kusimama kidete kukabiliana na ubabe wa Marekani sambamba na kudumisha heshima na uhuru wa Iran.
Habari ID: 3470444 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10
Ijumaa ya mwisho ya kila mwezi mtukufu wa Ramadhani katika kalenda ya matukio ya dunia, imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470425 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tunapaswa kutumia uzoefu wa mazungumzo ya nyuklia yaliyothibitisha kuwa Marekani haiwezi kuaminika na hivi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ichukue mkondo wake wa ustawi.
Habari ID: 3470356 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03
Ijumaa hii Wairani na wapenda haki duniani wanakumbuka siku ya kufariki dunia Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alikuwa na nuktaa za kipekee katika uongozi wake.
Habari ID: 3470353 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/02