ikhanul muslimin

IQNA

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu kutoka Misri Sheikh Youssef al-Qaradawi amefariki dunia siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475845   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26