mahakama ya ICC

IQNA

IQNA – Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amemtaja Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuwa ni mhalifu wa kivita, na kuitaka serikali ya Marekani kutekeleza hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iwapo atatia mguu katika ardhi ya Marekani.
Habari ID: 3482524   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/22

IQNA – Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amesema Jumamosi kuwa utawala wake unachunguza iwapo una mamlaka ya kisheria ya kumkamata Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atatembelea jiji hilo kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba.
Habari ID: 3482506   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/19

IQNA-Vita vya Ghaza na jinai nyingine zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel zimekabiliwa na msururu wa mashinikizo ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni ambayo yameufanya utawala huo ghasibu kuwa taifa linalochukiwa na kukataliwa duniani.
Habari ID: 3481334   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/05

Jinai za Israel
IQNA-Serikali za Mexico na Chile zimeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza na kuwashtaki maafisa wa utawala wa Israel ambao wamehusika katika jinai za kivita dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478215   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/19

Watetezi wa Palestina
IQNA - Waandamanaji kutoka matabaka mbalimbali walifanya maandamano mjini The Hague, Uholanzi kudai haki kwa Wapalestina na uchunguzi wa jinai zinazofanywa na utawala wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3478106   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/28

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kiislamu yenye makao yake London (IHRC) amekosoa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa undumilakuwili wake linapokuja suala la kushtaki wahusika wa uhalifu wa kivita.
Habari ID: 3478050   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17

Jinai za Israel
PRETORIA (IQNA)-Afrika Kusini imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake makuu mjini The Hague (ICC) kuuwajibisha utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na vitendo vyake vya ukiukaji wa sheria za kimataifa wakati utawala huo ukiendelea kufanya jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477867   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mashirika 198 ya Palestina na kimataifa yameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza jinai za utawala wa kikoloni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3476164   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28