iqna

IQNA

nyuklia
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina amewasilisha faili mbele ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kulalamikia matamshi ya vitisho ya waziri wa utawala wa Kizayuni kwamba ikilazimu, utawala huo haramu utatumia bomu la nyuklia dhidi ya watu wa Gaza.
Habari ID: 3477870    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/10

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia katu haitalegeza msimamo mbele ya adui ili taifa hili liondolewe vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
Habari ID: 3475682    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26

Kadhia ya Nyuklia
TEHRAN (IQNA)- Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA jana Jumanne alifanyiwa mahojiano makao makuu ya wakala huo mjini Vienna; na moja ya masuali aliyoulizwa ni kuhusu takwa la Iran la kumtaka alaani hujuma zilizofanywa dhidi ya vituo vyake vya nyuklia .
Habari ID: 3475356    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09

TEHRAN (IQNA)- Sambamba na Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ameshiriki katika maonyesho ya Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ambapo amezindua mafanikio mapya katika uga wa miradi ya nyuklia yenye malengo ya amani.
Habari ID: 3475107    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/10

Rais wa Iran katika mazungumzo ya simu na Rais wa Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemfahamisha Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuwa, Iran inataka kuona natija katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea sasa Vienna Austria na kwamba lazima mazungumzo hayo yahitimishwe kwa Iran kuondolewa vikwazo.
Habari ID: 3474622    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Idara ya Mahakama ya Iran amesisitiza kuwa, mauaji ya kigaidi ya wanasayansi wa nyuklia ni jinai dhidi ya binadamu na ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
Habari ID: 3474614    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA)- Iran na Marekani hatimaye zitafikia mapatano ya nyuklia , amesema mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha George Washington.
Habari ID: 3474099    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/14

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.
Habari ID: 3473939    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/23

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, leo tunashuhudia mwanzo mpya wa kuhuishwa mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA.
Habari ID: 3473792    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/07

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitalegeza kamba katika misimamo yake ya kimantiki kwenye maudhui ya nyuklia na itarutubisha madini ya urani hata kufikia asilimia 60 kulingana na maslahi na mahitaji ya nchi.
Habari ID: 3473675    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/23

TEHRAN (IQNA) - Familia ya mwanasayansi bingwa na mwenye kipawa cha juu katika masuala ya nyuklia na ulinzi wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh jana ilimtembelea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3473591    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26

TEHRAN (IQNA) - Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelitaka Shirika la Atomiki la Iran kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimia 20 kwa ajili ya matumizi ya amani.
Habari ID: 3473412    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/01

TEHRAN (IQNA)- Nchi na viongozi mbalimbali duninani wameendelea kulaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran na kusisitiza kuchukuliwa hatua waliohusika na jinai hiyo.
Habari ID: 3473405    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kutiwa adabu na kupewa adhabu isiyoepukika wote waliofanya na kuamrisha mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kiirani, Dk. Mohsen Fakhrizadeh.
Habari ID: 3473403    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/28

Rais wa Iran katika mazungumzo ya simu na Rais wa Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa ufaransa akisema kuwa Marekani daima imekuwa ikifanya jitihada za kuua mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa: Ulaya haipasi kukubali kuburutwa na Marekani na kutumbukia katika mtego wake.
Habari ID: 3473063    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/13

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza msimamo imara na wa kishujaa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na uharamu wa kutumia bomu la nyuklia na kusema kuwa: Iran haiwekezi kwa ajili ya kutengeneza na kutunza bomu ya nyuklia .
Habari ID: 3472163    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kauli mpya zilizotolewa na Marekani kuhusu mazungumzo na akasisitiza kwamba: Viongozi wote wa Jamhuri ya Kiislamu wanakubalina kwa kauli moja kuwa, hayatafanywa mazungumzo na Marekani katika ngazi yoyote ile.
Habari ID: 3472134    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/17

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameatangaza kuwa, awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) itaanza kutekelezwa Ijumaa.
Habari ID: 3472115    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/05

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran ya Kiislamu wameandamana nchi nzima baada ya Sala ya Ijumaa kuunga mkono hatua zilizochukuliwa na serikali ya Iran kusimamisha utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
Habari ID: 3471950    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/10

Rais Rouhani akihutubu bungeni
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iran litachukua hatua madhubuti na za kivitendo mkabala na uvunjaji ahadi, kigugumizi na ucheleweshaji wa aina yoyote ile katika kutekeleza mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
Habari ID: 3470719    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/05