Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA-Baraza la Uhusiano wa Uislamu na Marekani (CAIR) eneo la San Francisco Bay Area (CAIR-SFBA) limelaani vikali mashambulizi ya maneno ya chuki yaliyolenga jamii ya Waislamu wakati wa Eid Al-Adha.
Habari ID: 3478992 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20
Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Wabunge kadhaa nchini Marekani wamezitaka benki za nchi hiyo kuacha mbinu za kibaguzi dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3476191 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03