malenga

IQNA

IQNA – Athari ya Qur’an Tukufu haijabakia kwa washairi Waarabu na Waislamu pekee, bali imevuka mipaka na kuwagusa pia washairi na waandishi mashuhuri wa tamaduni nyingine.
Habari ID: 3481698    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/22

IQNA – Wazungumzaji katika mkutano kuhusu Maulana Jalaluddin Rumi uliofanyika Kuala Lumpur, Malaysia, wameangazia namna dunia ya sasa inavyohitaji mafundisho ya mshairi na sufi huyo mkubwa wa Kiirani.
Habari ID: 3481529    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/17

IQNA – Mwanazuoni kutoka Iran, Karim Zamani, asema kazi za Rumi, hasa Masnavi, zinaakisi kwa kina mafundisho ya Qur’ani Tukufu, kuanzia misingi ya itikadi hadi mtindo wa simulizi.
Habari ID: 3481305    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/30

Fasihi na Qur'ani
IQNA – Akitafakari kazi za Hafez Shirazi, malenga mtajika wa Iran wa karne ya 14, profesa mashuhuri wa Iran anaangazia jinsi Hafez anavyolaani vikali uongo na unafiki, akibainisha unafiki kuwa tishio kubwa zaidi kwa Uislamu.
Habari ID: 3479590    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13

TEHRAN (IQNA)-Leo tarehe 20 mwezi wa Mehri kwa mujibu wa kalenda ya Kiirani, inasadifiana na maadhimisho ya Khaja Shamsuddin Muhammad Hafiz Shirazi, mshairi na malenga mkubwa wa Kiirani.
Habari ID: 3473251    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa umma unapaswa kufahamishwa kuhusu hiana inayofanywa na Marekani katika utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
Habari ID: 3470406    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/21