IQNA – Wasomaji na mahafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Kosovo wameibuka kuwa ujumbe uliofanya vyema zaidi katika Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Balkan yaliyofanyika mjini Skopje, mji mkuu wa Macedonia Kaskazini.
Habari ID: 3482580 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/03
IQNA – Washindi wa Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur’ani ya Balkan walitangazwa na kutunukiwa katika hafla ya kufunga mashindano hayo.
Habari ID: 3482560 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
BELGRADE (IQNA) – Sheikh Bayram Ayati, mtaalamu mashuhuri wa Qur’ani Tukufu katika nchi za Balkan amefariki dunia siku ya Jumatano.
Habari ID: 3477380 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/04
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 10
TEHRAN (IQNA) – Kusoma Qur'ani Tukufu katika lugha yake asili ya Kiarabu ni changamoto kwa Waislamu wengi katika nchi zisizo za Kiarabu. Watarjumi na wafasiri wamejaribu kurahisisha mambo kwa kuandika tarjuma na maelezo au tafsiri kwa lugha mbali mbali za dunia.
Habari ID: 3476230 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11