iqna

IQNA

Qiraa ya Peponi
IQNA – Hapa tumewaandalieni qiraa ya aya ya 9 ya Surah Al-Isra' ya marehemu qari wa Misri Sheikh Abul Ainain Shuaisha.
Habari ID: 3478925    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05

Wasomaji bingwa wa Qur'ani Tukufu
CAIRO (IQNA) – Visomo vya Qur’ani vya msomaji maarufu wa Misri Sheikh Sheikh Abul Ainain Shuaisha vilitoka kwenye kina cha nafsi yake na ndio maana viligusa nyoyo za wasikilizaji.
Habari ID: 3477657    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) –Ustadh Abulainain Shuaisha alijulikana kama Sheikh ul-Qurra (kiongozi wa wasomaji Qur’ani) wa Misri. Alikuwa msomaji mashuhuri wa Qur’ani na mtu wa mwisho kutoka katika ‘kizazi cha dhahabu’ cha wasomaji Qur’ani wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3476295    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24