iqna

IQNA

Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /14
TEHRAN (IQNA) – Sayed Radhi katika kitabu chake ‘Talkhis al-Bayan fi Majazat al-Quran’ anazungumzia muujiza wa Qur'ani Tukufu kwa mtazamo balagha na sitiari.
Habari ID: 3476386    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11

Tarjama ya Kiswahili ya Nah-ul-Balagha imechapishwa kwa mara ya kwanza kwa hisani ya Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania.
Habari ID: 1424341    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/30