Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /14
TEHRAN (IQNA) – Sayed Radhi katika kitabu chake ‘Talkhis al-Bayan fi Majazat al-Quran’ anazungumzia muujiza wa Qur'ani Tukufu kwa mtazamo balagha na sitiari.
Habari ID: 3476386 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11