Sheffield

IQNA

Chuki dhidi ya Uislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya nakala na Kurani Tukufu na vitabu vingine vya Kiislamu vilichanwa wakati wa shambulio la Msikiti wa Jamia Abdullah Bin Masood huko Sheffield, Uingereza.
Habari ID: 3476389   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12