iqna

IQNA

waqiah
Sura za Qur’ani Tukufu / 56
TEHRAN (IQNA) – Kuna maoni na nadharia tofauti kuhusu kitakachotokea mwishoni mwa wakati. Wengi wao wanatabiri kwamba matukio ya kustaajabisha na makali yatatokea duniani. Surah Al-Waqi’a ya Qur’ani Tukufu inaonyesha baadhi ya matukio hayo.
Habari ID: 3476405    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/15