IQNA- Ifuatayo ni qiraa (kisomo) ya aya 12 ya Surah Maryam ikisomwa na qarii wa Misri Sheikh Abdulaziz Ali Faraj .
Habari ID: 3480654 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/08
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /25
TEHRAN (IQNA) – Abdulaziz Ali Faraj alikuwa qari wa Kimisri ambaye aliishi zama za Ustadh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3476514 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05