Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri ya Qur'ani Tukufu ya Jawami Al-Jami ni tafsiri iliyofupishwa ya Qur'ani ambayo sifa yake kuu ni kuwa kazi ya kifasihi inayofafanua aya za Qur’ani kwa maneno mafupi na inajumuisha aya zote za Kitabu hicho Kitakatifu.
Habari ID: 3476556 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13