Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA)- Mabinti wa mwanaharakati wa haki za kiraia Muislamu mweusi, Malcolm X, wamesema wataishtaki polisi ya jiji la New York na Shirika Kuu la Kijasusi Marekani, CIA, na Idara ya Upelelezi ya Marekani, FBI, kwa kuhusika na mauaji ya baba yao, hapo 1965.
Habari ID: 3476609 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/22