Sura za Qur'ani Tukufu / 63
TEHRAN (IQNA)-Wakati watu wanaotafuta ukweli na watu watukufu wanapoonyesha njia sahihi kwa watu, kuna baadhi ambao wanahisi maslahi yao yanatishiwa. Inavyoonekana wanakubali mabadiliko na maendeleo yaliyoletwa lakini mioyoni mwao, wanatafuta kuunda upotovu kwenye njia.
Habari ID: 3476628 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/26