iqna

IQNA

Mwokozi
IQNA – Qur’ani Tukufu inatoa bishara kwamba itakuja zama ambapo Uislamu utatawala dunia nzima na Waislamu watatekeleza mafundisho yao ya kidini bila ya woga wowote.
Habari ID: 3478429    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Mwokozi
IQNA - Mwanachuoni wa Lebanon amesema kutekeleza mafundisho na Sira ya Mtukufu Mtume (SAW) na Etrat (Ahul Bayt wa Mtume SAW) ni muhimu kwa ajili ya kujitayarisha kwa ajili ya kudhihiri Mwokozi anayesubiriwa.
Habari ID: 3478411    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/25

Mwokozi
IQNA - Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yamekamilika mapema wiki hii, siku chache kabla ya Nisf-Shaaban, ambayo inaadhimisha kuzaliwa kwa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake).
Habari ID: 3478410    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/25

IQNA – Qur’ani Tukufu inarejea kwenye bishara zilizotajwa katika baadhi ya vitabu vya Mwenyezi Mungu vilivyotangulia na inasisitiza kwamba watu wema ndio watakaotawala juu ya ardhi yote.
Habari ID: 3478409    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/24

IQNA – Imepokewa kutoka katika Aya ya 7 ya Surah Ar-Raad kwamba siku zote kuna uongozi wa kiongozi aliyechaguliwa na Mwenyezi Mungu katika jamii za wanadamu na hivyo ardhi haijawahi kukosa mtu ambaye ni Hujjat (ushahidi au hoja ya Mwenyezi Mungu).
Habari ID: 3478404    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/23

IQNA - Kama vitabu vya Mwenyezi Mungu vilivyotangulia, Qur'ani Tukufu inatoa habari na bishara njema ya kuundwa kwa serikali ya ulimwengu yenye umoja duniani ambayo itaongozwa na watu wema na waliokuwa wamedhulumiwa na kukandamizwa.
Habari ID: 3478397    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/22

Ahul Bayt wa Mtume (SAW)
Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama, Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake).
Habari ID: 3476675    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08

Siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af).
Habari ID: 3310767    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/03