Sura za Qur'ani Tukufu /68
TEHRAN (IQNA) – Kalamu na inachokiandika ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu. Katika Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu ameapa kwa baraka hizi ili kuashiria umuhimu wake.
Habari ID: 3476708 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/15