iqna

IQNA

Kususia utawala bandia wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya vipeperushi 20,000 vinavyowahimiza Waislamu kutizama lebo yaani #CheckTheLabel na kususia bidhaa za utawala haramu wa Israel vimesambazwa katika misikiti kote Uingereza, sanjari na Ijumaa ya mwisho kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, waandaaji walisema Ijumaa.
Habari ID: 3476724    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/18