Uhusiano wa nchi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana Alhamisi katika mji mkuu wa China Beijing na kukubaliana kufunguliwa ofisi za uwakilishi wa nchi mbili na kusisitiza utayari wao wa kuondoa vizuizi vinavyokwamisha kupanuliwa mashirikiano baina ya Tehran na Riyadh.
Habari ID: 3476824 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07