Qarii mkubwa wa Qur'ani wa Misri afariki dunia

IQNA

Sheikh Mahmoud Amin Tantawi ambaye alikuwa miongoni mwa maqarii wakubwa wa Qur'ani alifariki dunia jana mjini Cairo.
Habari ID: 1768    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/10/27