Msimamo wa OIC kuhusu 'kupigwa marufuku' Uislamu Angola

IQNA

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani na kukosoa vikali uamuzi wa serikali ya Angola wa kuipiga marufuku dini ya Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 1325710    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/12/01