Ahl-ul-Bayt (AS)
Katibu Mkuu wa Majlisi ya Ahl-ul-Bayt (AS) ya Dunia amesema Nahj-al-Balagha inapaswa kuletwa kwa walimwengu na mafunzo yatolewe humo katika nyanja tofauti.
Habari ID: 3479052 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/02
TEHRAN (IQNA) – Ili kupata marudio yoyote, tunapaswa kumfuata mtu anayeijua njia vizuri.
Habari ID: 3477749 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17
Mwanabondia mashuhuri duniani Mohammad Ali ametoa wito kwa Waislamu hasa nchini Marekani kusimama kidete na kuwalaani wale wanaoeneza chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3462056 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11
Katika kipindi cha miaka 23, Bwana Mtume SAW alisumbuka na kufanya jitihada kubwa mno hadi kuuwezesha kuchipua na kustawi mmea mchanga wa dini tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 3377330 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza na kushukuru juhudi, mapambano ya dhati na umakini wa timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran.
Habari ID: 3328599 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/15
Tuko katika siku za kukumbuka kuuawa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw) Fatimatu Zahra (as). Bibi Fatima al Zahra (as) ni binti ya Mtukufu Mtume Muhammad (saw) na Bibi Khadija bint Khuwailid, mke kipenzi wa Mtume na mtoto wa nne wa kike wa Mtume wa Mwenyezi Mungu. Baadhi ya lakabu zake ni al Zahra, Siddiqa, Twahira, Mubarakah, Zakiyyah, Raadhiyah, Mardhiyya, Muhaddathah na Batul.
Habari ID: 3015831 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/20
Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametahadharisha kuhusu njama za adui zenye lengo za kuudhihirisha Uislamu kuwa ni tishio.
Habari ID: 1474768 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/18
Katika kipindi cha miaka 23, Mtume Muhammad SAW alisumbuka na kufanya jitihada kubwa mno hadi kuuwezesha kuchipua na kustawi mmea mchanga wa dini tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 1459700 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/12
Tarjama ya Kiswahili ya Nah-ul-Balagha imechapishwa kwa mara ya kwanza kwa hisani ya Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania.
Habari ID: 1424341 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/30
Tarehe 13 Rajab inasadifiana na siku ya kuzaliwa Amirul Muuminiin Ali bin Abi Talib AS mmoja kati ya Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 1406468 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/13