iqna

IQNA

Muungano wa Wasomaji Qurani Tukufu nchini Misri umemfutia uanachama wa muungano huo Sheikh Farajullah al Shadhilii mmoja kati ya wasomaji Qurani Tukufu mashuhuri nchini Misri kwa sababu tu ya kuadhini kwenye Msikiti wa Kishia nchini Iraq.
Habari ID: 1407016    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/15