australia - Ukurasa 3

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Watu wanaoaminika kuwa wahalifu wazungu wa mrengo wa kulia wenye misimamo mikali ya kibaguzi wameuhujumu msikiti katika mji wa Brisbane, Australia.
Habari ID: 3472125   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/11

TEHRAN (IQNA) –Waislamu wa mji mkuu wa Australia, Canberra wana sababu ya kutabasamu kufuatia kufunguliwa msikiti mpya katika mji huo baada ya jitihahada za muda mrefu.
Habari ID: 3471495   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05

TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika magereza ya Australia wanakabiliwa na mateso, udhalilishaji na ukandamizaji mikononi mwa maafisa wa gereza.
Habari ID: 3471219   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/16

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Australia wanawalenga zaidi wanawake wenye kuvaa Hijabu, ripoti mpya imebaini.
Habari ID: 3471059   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/10

Seneta Pauline Hanson wa Australia amekosolewa kwa matamshi yake yaliyojaa chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3470568   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/17

Mwanamke Mwislamu mwenye umri wa miaka 25 amedhalilishwa baada ya kunyimwa kazi kutokana na vazi lake la Hijabu.
Habari ID: 3470475   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26