iqna

IQNA

Waislamu Australia
IQNA – Msikiti mmoja mkubwa nchini Australia umeomba rasmi ruhusa ya kuanza kutumia vipaza sauti kuadhini katika kitongoji cha Lakemba, jiji la Sydney.
Habari ID: 3480505    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/07

Waislamu Australia
IQNA - Mwanamke mmoja amefunguliwa mashtaka rasmi kufuatia tukio katika duka la Kmart huko Bankstown, magharibi mwa Sydney, Australia ambapo anashutumiwa kwa kumtusi na kumtisha mwanamke wa Kiislamu wakati wa makabiliano ambayo yalizuka hadharani.
Habari ID: 3479940    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23

Matukio ya Karbala
Maombolezo ya Ashura yalifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) huko Vienna, mji mkuu wa Austria.
Habari ID: 3479142    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17

Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA – Kikao cha usomaji wa Qur'ani Tukufu imepangwa kufanyika Sydney, Australia, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ali (AS).
Habari ID: 3478239    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/23

Watetezi wa Palestina
CANBERRA (IQNA) – Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina waliandamana kote Australia wikiendi hii, wakitoa wito wa kukomeshwa mara moja kwa mashambulizi ya kinyama ya utawala haramu wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza ambayo yameua zaidi ya watu 13,000, wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto, tangu Oktoba 7.
Habari ID: 3477918    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/20

Waislamu Australia
TEHRAN (IQNA) – Siku ya kumi ya Kitaifa ya Ufunguzi wa Msikiti (NMOD) itafanyika Jumamosi tarehe 28 Oktoba, tukio ambalo linawaalika Wa australia wasiokuwa Waislamu wa asili zote kutembelea misikiti na kujifunza zaidi kuhusu Uislamu na utamaduni wake.
Habari ID: 3477653    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25

Waislamu Australia
CANBERRA (IQNA) - Mashindano ya Qur'ani yaliyoandaliwa mjini Sydney, Australia, yalihitimishwa katika sherehe ambapo washindi wa kwanza walitunukiwa.
Habari ID: 3477636    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/22

Waislamu Australia
CANBERRA (IQNA) – Khaled Sabsabi, msanii anayeishi Magharibi mwa Sydney ambaye amejaribu kuwapa sauti wahamiaji Waislamu wasiosikika, ameshinda tuzo ya ubunifu wa sanaa ijulikanayo kama Creative Australia Visual Arts Award.
Habari ID: 3477621    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/18

Waislamu Australia
CANBERRA (IQNA) – Sajili ya Vitendo vya Chuki Dhidi ya Uislamu Australia (IRA) imepongeza marufuku ya udhalilishaji kidini huko New South Wales.
Habari ID: 3477503    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/27

Waislamu Australia
Baraza la Jiji la Wagga Wagga katika eneo l New South Wales Riverina nchini Australia limetoa idhini kwa jamii ya Waislamu kujenga msikiti wao wa kwanza ambao utajumuisha ukumbi wa maombi wenye uwezo wa kuchukua watu 100.
Habari ID: 3477124    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/09

Njia ya Haki
TEHRAN (IQNA) – Mzee mmoja ambaye alifika Msikitini kulalamika kuhusu kelele katika eneo hilo la ibada huko Australia hatimaye alisilimu baada ya kukaribishwa kwa ukarimu na waumini waliokuwa Msikitini hapo.
Habari ID: 3476918    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/26

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mkongwe zaidi huko Victoria, Australia, ulikaribisha wakazi wasiokuwa Waislamu wa Bonde la Goulburn katika mpango wake wa mara ya kwanza ya "Mmilango ya Wazi" leo Machi 5.
Habari ID: 3476662    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/05

Waislamu Australia
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu wa Australia imezindua kampeni ya uchangiaji damu katika kile inachotumai itakuwa mojawapo ya misukumo mikubwa ya umwagaji damu wa kidini nchini humo.
Habari ID: 3476618    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24

Benki ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Katika hatua muhimu ya kusonga mbele Waislamu 800,000 wa Australia, nchi itashuhudia benki yake ya kwanza ya Kiislamu ikifunguliwa rasmi.
Habari ID: 3475927    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14

Ukoloni
TEHRAN (IQNA)-Seneta mmoja wa Bunge la Australia amemuita Malkia Elizabeth II wa Uingereza kuwa ni mkoloni wakati akila kiapo bungeni hapo.
Habari ID: 3475568    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/02

Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Benki ya kwanza ya Kiislamu ya Australia imeidhinishwa kuwa na leseni yenye masharti ya kuchukua amana chini ya Sheria ya Benki.
Habari ID: 3475496    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/13

Hijabu katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Fatima Payman, ambaye amechaguliwa kuwa mwanamke wa kwanza wa Muislamu aliyevalia hijabu katika Bunge la Seneti nchini Australia, anasema anataka kuhakikisha kuwa uvaaji
Habari ID: 3475422    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25

Waislamu Australia
TEHRAN (IQNA)- Bw. Ed Husic na Bi. Anne Aly ambao wamekuwa mawaziri wa kwanza Waislamu katika historia ya Australia, wanatambua umuhimu wa kuteuliwa kwao na wanasisitiza kwamba wanaangazia sasa kutumia majukumu haya kuleta mabadiliko katika maisha ya Wa australia .
Habari ID: 3475325    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02

TEHRAN (IQNA) – Baada ya masaa mengi ya kuchangisha fedha, kupanga na kujenga, milango ya msikiti mpya kabisa huko Melbourne, Australia, hatimaye imefunguliwa.
Habari ID: 3475043    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14

TEHRAN (IQNA)- Makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina yamekosoa vikali kitendo cha Australia cha kuitambua harakati ya muqawama ya HAMAS kuwa ni kundi la kigaidi.
Habari ID: 3474946    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/19