TEHRAN (IQNA)- Makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina yamekosoa vikali kitendo cha Australia cha kuitambua harakati ya muqawama ya HAMAS kuwa ni kundi la kigaidi.
Habari ID: 3474946 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/19
TEHRAN (IQNA)- Australia imelaaniwa vikali kufuatia hatua yake ya kutangaza chama cha Hizbullah cha Lebanon kuwa eti ni harakati ya kigaidi.
Habari ID: 3474599 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25
TEHRAN (IQNA)- Australia ina mpango wa kuwa kitovu cha kieneo cha mfumo wa kifedha wa Kiislamu kutokana na kuwa ina uthabiti wa kisiasa, mfumo wa kifedha uliostawi na uchumi mkubwa wa ndani ya nchi.
Habari ID: 3474313 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wanaendelea kuongezeka maeneo mbali mbali ya Australia huku kukiwa na uhaba wa misikiti katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474079 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/07
TEHRAN (IQNA) - Somo kuhusu 'Lugha ya Qur'ani Tukufu' litaanza kufunzwa kwa mara ya kwanza kwa wanafunzi wa kugha ya Kiarabu katika Chuo Kikuu cha Sydney.
Habari ID: 3473588 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25
TEHRAN (IQNA) – Wanajeshi tisa wa Australia wamejiua katika kipindi cha wiki tatu baada ya ripoti kufichua jinai zilizotendwa na Kikosi cha SAS cha Jeshi la Australia nchini Afghanistan.
Habari ID: 3473387 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/23
TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Australia wameingia na hofu ya kuenea chuki dhidi ya Uislamu baada ya ripoti mpya kubaini kuwa maambukizi mapya ya COVID-19 mjini Melbourne yalianzia katika mjumuiko wa kifamilia wa sherehe za Idul Fitr.
Habari ID: 3472896 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/25
TEHRAN (IQNA) - Watu wanaoaminika kuwa wahalifu wazungu wa mrengo wa kulia wenye misimamo mikali ya kibaguzi wameuhujumu msikiti katika mji wa Brisbane, Australia.
Habari ID: 3472125 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/11
TEHRAN (IQNA) –Waislamu wa mji mkuu wa Australia, Canberra wana sababu ya kutabasamu kufuatia kufunguliwa msikiti mpya katika mji huo baada ya jitihahada za muda mrefu.
Habari ID: 3471495 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05
TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika magereza ya Australia wanakabiliwa na mateso, udhalilishaji na ukandamizaji mikononi mwa maafisa wa gereza.
Habari ID: 3471219 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/16
TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Australia wanawalenga zaidi wanawake wenye kuvaa Hijabu, ripoti mpya imebaini.
Habari ID: 3471059 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/10
Seneta Pauline Hanson wa Australia amekosolewa kwa matamshi yake yaliyojaa chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3470568 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/17
Mwanamke Mwislamu mwenye umri wa miaka 25 amedhalilishwa baada ya kunyimwa kazi kutokana na vazi lake la Hijabu.
Habari ID: 3470475 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26